wanawake sa ingine mnajifedhehesha!

Hahahaaaa jamani si ungepotezea tu mkuu.....lol

Hahahahaaaaa nimeona yeye hajui kupotezea hata maneno ya mtaani kama sirikale nikagoma kufikiri ili anieleweshe alimaanisha nini.
 
sasa unaficha, siku ukifa nani atarithi?

Na atajua unamiliki nini na nini na viko wapi?

Kama humuamini kiasi hiki bora nioe mie tu.
Haya unayoyasema (Transparency) yameshatuponza wengine, mliosalimika endeleeni kuwaficha, Nasema haya bila woga, anayebisha aendelee ataikumbuka hii post 1,3 or even 10 years to come!
 

huyo mama alitaka kuiga kwenye tamthilia!kumbe kuna wanawake wanaangalia michezo ya kuigiza na kwenda kufanya kweli ktk ndoa zao!ndio maana kachemsha!teh teh teh!
 
halafu we konnie wewe ujue mwenzio nna presha mbaya.

Mapenzi kweli balaa, kumbe Kongosho kimahaba ni Konnie.Jina zuri eehn. wewe hata alichokifanya mke wako ni sahihi kabisa unaonekana player wa kuua mtu.
 
Wanawake wa namna hii ni vibao tu. Wanawaza tu mambo ya wivu wakati wanaume wanahangaika watoto waende choo.
 
ha ha ha, maajabu bishanga ka-play-iwa na kongosho hadi anamwona konnie.

Mapenzi kweli balaa, kumbe Kongosho kimahaba ni Konnie.Jina zuri eehn. wewe hata alichokifanya mke wako ni sahihi kabisa unaonekana player wa kuua mtu.
 
hahha eti kwanza una ukimwi mweh! nami namjibu mbona mda mrefu san NA tunatumia vidonge vya kurefusha maisha hajakuambia na wewe uanze dozi tuone nani atazimia kati yangu na yake mweh!
back kwenye point ila wivu mbaya sana mwambie apunguze atakufa siku si zake akuanze ukila life na huyo anayekusaidia huko TRA
 

Inasikitisha! Vipi yamekukuta mkuu?

 

Aksante dada Kaunga............kuongezea we mume una matatizo na TRA afu huwezishare na mkeo?? Angeshare hata hiyo role ya huyo mdada wa TRS. Mke ana haki kureact
 
nikishaanza kuona mifano kama hii swala la kuoa uwa linanitoka kabisaaaaaaaaa maana uwa sipendi mambo kama hizi
 

vipi lakini,ka mpango 'ka pembeni' unako?
 
Papaa Bishanga mutu mukubwa,mutu ya ndizi pole sana okusanga nini? mawasiliano muhimu katika ngazi yoyote ya mahusiano kufichaficha ishuu zako kumesababisha ahisi una mahawara
The secretary, wewe mbona unanificha mambo yako?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…