Wanawake sampuli 3 ! Mimi niko .....

Mi kundi la kwanza, napenda mshikemshike yaani hadi kumpata extra energy lazima itumike na jasho lazima litoke.
"Wanaume tutakula kwa jasho" By Bible
 
Mkuu Kundi la tatu kwako kwangu ni la kwanza.., si unajua tena mwingine anapenda masabuli wengine wanaita ni unene na obesity.., wakati wengine wanasema ni model (baadhi wanaita mbau mbau au mgonjwa..),

Hii issue ni very subjective.., na kama hofu kwako ni watu kumshawishi basi umeumia (sababu hakuna mwanamke mbaya duniani.., na opposite attract.., kama wewe ulimpenda fahamu kwamba na wengine wenye taste kama zako wapo)
 

kweli kabisa.
 
nafkir aliye wngu yupo kund la 50, hvyo makund n zaid ya hayo 3 plus la4
 
Thread hili linaonekana kwa wale hawajaoa au vicheche. Au screen yangu inanidanya?
 
Namchagua ambaye kila nikimtizama the way alivo basi nafurahi na ninapata liziko la nafsi.. Akiwa na tabia nzuri basi ndo nakufa kabisa.. Yaani moyo unamdhondhokeaga tuuu..

red and bolded: .................still downloading.............!
 
Uzuri wa kitu uko machoni pake, hakuna mbaya hata mtu ukimuuliza kwanini anampenda fulani tu hana sababu yakuwa ni kwauzuri gani.
 

Irrelevant! Kwani uzuri wa maua ni macho au rangi?
 
kundi la tatu! nina wa kundi la tatu! lakin anaivutia mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…