moneytalk JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 7,976 Reaction score 16,769 Feb 10, 2025 #161 Lamomy said: ๐น๐น๐น Hiyo ya zamani achana nayo..!! Click to expand... nipe mpya basi kungwi wangu
Lamomy said: ๐น๐น๐น Hiyo ya zamani achana nayo..!! Click to expand... nipe mpya basi kungwi wangu
Ms R JF-Expert Member Joined Jan 19, 2023 Posts 8,853 Reaction score 19,587 Feb 10, 2025 #162 Mwachiluwi said: Iyo stlye kwanza ushaiweza? Click to expand... Na urefu huu wa shingo unataka ivunjwe
Mwachiluwi said: Iyo stlye kwanza ushaiweza? Click to expand... Na urefu huu wa shingo unataka ivunjwe
M Mightyarmy JF-Expert Member Joined Oct 10, 2023 Posts 203 Reaction score 307 Feb 10, 2025 #163 Kimwakaleli said: Bora kuwa mcha Mungu kwa ukweli,utaepuka mambo haya;Kina mama tuishi nao kwa Akili! Click to expand... umenena. Bila kumcha Mungu kuwaepuka hawa viumbe ni kazi. Wanatumiwa sana na shetani kuharibu maisha ya watu na ndoa zao.
Kimwakaleli said: Bora kuwa mcha Mungu kwa ukweli,utaepuka mambo haya;Kina mama tuishi nao kwa Akili! Click to expand... umenena. Bila kumcha Mungu kuwaepuka hawa viumbe ni kazi. Wanatumiwa sana na shetani kuharibu maisha ya watu na ndoa zao.
MrsPablo1 JF-Expert Member Joined Jun 9, 2013 Posts 1,073 Reaction score 1,941 Feb 10, 2025 #164 Sijui ndo hii ya kukwepa kodi ๐ Lamomy Spoiler: 18+