Baadhi ya sehemu kubwa sana ya sisi wanawake ,hutumia watoto wao kama ngao yao ya kupata wao masilahi yao !
kama sijaelewa vile
mmmmmmmh! kumbeeee.:scared:Baadhi ya sehemu kubwa sana ya sisi wanawake ,hutumia watoto wao kama ngao yao ya kupata wao masilahi yao !
Baadhi ya sehemu kubwa sana ya sisi wanawake ,hutumia watoto wao kama ngao yao ya kupata wao masilahi yao !
hilo sio jibu kabisa...mana hata mie sijaelewaKaendelee na shughuli zako.
kama sijaelewa vile
Mi mtaani hapa nimesikiziwa nimewapa mimba wanawake watano ambapo sijawahi lala nao kisa ofa nazo wapa wanataka nilee mimba wengine watoto
utaelewa keshokama sijaelewa vile
kama sijaelewa vile
utaelewa kesho