Wanawake Togo wagoma kutoa Unyumba kwa waume zao!!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
7,113
Reaction score
933
Kisa ni kushinikiza mabadiliko ya kisiasa.
Chanzo:Majira.
 
Ifafanue zaidi wengine kupata gazeti hilo ni baada ya siku 2.
 
nani muathirika mkubwa wa uamuzi huo? Halafu kila mtu si anajifungia ndani ya chumba chake? Tutajuwaje kama kila mtu yuko serious na kutekeleza uamuzi huo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…