Emma M Bai
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 223
- 126
makosa ya kiuandishi kaandika wife hiyo title
uliposema wanawake tu umebugi.
Kuna wanaume wanapenda sana wake zao na wangekuambia wanapenda wavae nini.
Naomba kujua mnapenda nini kutumika chupi ama taiti ok Na kama chupi ni zipi au kama taiti zipi ndefu ama fupi Na Kwa zooote mnapenda material yapi nafatilia koment zenu .
Wanaume tukae pembeni jaman lazima tuwe na mipaka
Karibu
wewe mwenyewe mwanaume alafu unafukuza wanaume wenzako, sasa utawaweza wanawake wooote ww mwenywe ? acha choyo kijanaNaomba kujua mnapenda nini kutumika chupi ama taiti ok Na kama chupi ni zipi au kama taiti zipi ndefu ama fupi Na Kwa zooote mnapenda material yapi nafatilia koment zenu .
Wanaume tukae pembeni jaman lazima tuwe na mipaka
Karibu
yeye anataka kuwatenganisha hatoweza kabisauliposema wanawake tu umebugi.
Kuna wanaume wanapenda sana wake zao na wangekuambia wanapenda wavae nini.
kwan alie andika hii thread n me/ke.. .?Naomba kujua mnapenda nini kutumika chupi ama taiti ok Na kama chupi ni zipi au kama taiti zipi ndefu ama fupi Na Kwa zooote mnapenda material yapi nafatilia koment zenu .
Wanaume tukae pembeni jaman lazima tuwe na mipaka
Karibu
KUNA NAMNA SIO BUREKuna wengine ni wake zetu humu, unawaita peke yao ili uwafanyeje [emoji31][emoji31][emoji31]
Naomba kujua mnapenda nini kutumika chupi ama taiti ok Na kama chupi ni zipi au kama taiti zipi ndefu ama fupi Na Kwa zooote mnapenda material yapi nafatilia koment zenu .
Wanaume tukae pembeni jaman lazima tuwe na mipaka
Karibu
Mkuu usifanye maisha kuwa magumu tuweke hoja mezanikwan alie andika hii thread n me/ke.. .?
Haya mambo ya jinsia tena ya nini sasa mwanamke bhanakwan alie andika hii thread n me/ke.. .?
Naomba tukifanyie kazi kilichopoyeye anataka kuwatenganisha hatoweza kabisa
Huu uchunguzi umejikita zaid Kwa wanawake kila mtu akimrushia mpira mwenzake fear
Kwani wewe mwenyewe unapenda kuvaa nini?
'Tait' au chupi? na kama 'Tait' ndefu au fupi? na kama ni chupi Thong au G-String?
na kama zote ni material ipi?