Wanawake tu:kama wewe mwanamke fungua hapa tafadhari

Wanawake tu:kama wewe mwanamke fungua hapa tafadhari

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
Natafuta girlfriend ambaye ataelekea kuwa mke panapo majaaliwa...
SIFA ZANGU:Mimi ni mwajiriwa wizara ya mambo ya ndani,kipato cha kawaida!
Umri miaka 24
Nipo mbeya ndipo ninapoishi kwa sasa ila home ni DSM,
pia nipo mzumbe tawi la mbeya mwaka wa3 nachukua LAW...

SIFA NINAZOZITAKA: sichagui dini wala kabila,
elimu atleast form 4 ila kikubwa ajielewe!
Umri miaka 18-22
KARIBUNI.....niPM
SERIOUS
 
Ahsanteni nimepata PM kadhaa ila bado sijafanikiwa tafadhali aliye interested aPM
 
Back
Top Bottom