Wanawake tu: Naomba kujua kuhusu lace wig

Wanawake tu: Naomba kujua kuhusu lace wig

Gods very own

Senior Member
Joined
Jul 1, 2017
Posts
124
Reaction score
66
Mambozi dears, for the first time nataka nijaribu lace wig lakini naona mostly zimesukwa mbili kichwa au kubana kidoti, ina maana ukiliachia tu bila kubana au kusuka halipendezi?
Mwenye picha ya lace wig ambalo limeachiwa tu naombe atume hapa please.

Nataka ninunue yale ya kawaida tu 50,000, je yanafaa kupasi,kutong na kubadili rangi?
Ni hayo tu.

a71a4de6fd46b20e3a185bf33cdccc32.jpg
 
Mamboz dears, for the first time nataka nijaribu lace wig. Lakini naona mostly zimesukwa mbili kichwa au kubana kidoti, ina maana ukiliachia tu bila kubana au kusuka halipendezi?
Mwenye picha ya lace wig ambalo limeachiwa tu naombe atume hapa please.
Nataka ninunue yale ya kawaida tu 50,000, je yanafaa kupasi,kutong na kubadili rangi?
Ni hayo tu.

a71a4de6fd46b20e3a185bf33cdccc32.jpg
Naona kama alipendezi kuachiwa, linapendeza kubana nyuma au kubana kidoti.

Kwanini usitafute tu nywele nzuri ya elfu 50, maana lace wig la 50 nalo changamoto.
 
Naona kama alipendezi kuachiwa, linapendeza kubana nyuma au kubana kidoti.

Kwanini usitafute tu nywele nzuri ya elfu 50, maana lace wig la 50 nalo changamoto.
Naomba unipe suggestion basi,nywele nzuri nyingine ipi. Mana kununua nywele na kushona vikofia nshachoka, vinabanduka hatari.
 
Naomba unipe suggestion basi,nywele nzuri nyingine ipi. Mana kununua nywele na kushona vikofia nshachoka, vinabanduka hatari.
Nywele zipo nyingi tu inategemea na choice yako, hizo lace wig za 50 huwa naziona nyingi zina magundi gundi mbele.
 
me sijawah livaa ila la elfu hamsini ndugu hupasi...
 
Back
Top Bottom