Gods very own
Senior Member
- Jul 1, 2017
- 124
- 66
Naona kama alipendezi kuachiwa, linapendeza kubana nyuma au kubana kidoti.Mamboz dears, for the first time nataka nijaribu lace wig. Lakini naona mostly zimesukwa mbili kichwa au kubana kidoti, ina maana ukiliachia tu bila kubana au kusuka halipendezi?
Mwenye picha ya lace wig ambalo limeachiwa tu naombe atume hapa please.
Nataka ninunue yale ya kawaida tu 50,000, je yanafaa kupasi,kutong na kubadili rangi?
Ni hayo tu.
Naomba unipe suggestion basi,nywele nzuri nyingine ipi. Mana kununua nywele na kushona vikofia nshachoka, vinabanduka hatari.Naona kama alipendezi kuachiwa, linapendeza kubana nyuma au kubana kidoti.
Kwanini usitafute tu nywele nzuri ya elfu 50, maana lace wig la 50 nalo changamoto.
Nywele zipo nyingi tu inategemea na choice yako, hizo lace wig za 50 huwa naziona nyingi zina magundi gundi mbele.Naomba unipe suggestion basi,nywele nzuri nyingine ipi. Mana kununua nywele na kushona vikofia nshachoka, vinabanduka hatari.