Wanawake tu: Natafuta demu wa ku-cheat nae

Wanawake tu: Natafuta demu wa ku-cheat nae

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,610
Natafuta mwanamke wa kuwa na uhusiano nae kimya kimya bila mpenzi wangu kujua na bila mpenzi wake kujua, tutakuwa hatuwasiliani ovyo kwny simu. Aliyetayari ani-PM. Sihitaji ushauri wowote katika hili wala kukosolewa.
Nawasilisha
 
Natafuta mwanamke wa kuwa na uhusiano nae kimya kimya bila mpenzi wangu kujua na bila mpenzi wake kujua, tutakuwa hatuwasiliani ovyo kwny simu. Aliyetayari ani-PM. Sihitaji ushauri wowote katika hili wala kukosolewa

Nawasilisha
Mi nipo kazi kwako
 
Sasa mimi huwa nacheat na watu wanaojiweza kimfuko
je una salio la kutosha siyo masharti kibao kisha mpunga huna
by the way unatakiwa unihonge zaidi ya huyu niliyenae je utaweza ?
 
Sasa mimi huwa nacheat na watu wanaojiweza kimfuko
je una salio la kutosha siyo masharti kibao kisha mpunga huna
by the way unatakiwa unihonge zaidi ya huyu niliyenae je utaweza ?
Mkuu uko tayari kupima ngoma?
 
Aaa ngoma si tatizo
hapa nipo fill service embu nipm ila unasalio maana wanaume wenye njaa siwawezi
 
Back
Top Bottom