Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,610
Mi nipo kazi kwakoNatafuta mwanamke wa kuwa na uhusiano nae kimya kimya bila mpenzi wangu kujua na bila mpenzi wake kujua, tutakuwa hatuwasiliani ovyo kwny simu. Aliyetayari ani-PM. Sihitaji ushauri wowote katika hili wala kukosolewa
Nawasilisha
Mi nipo kazi kwako
Mkuu uko tayari kupima ngoma?Sasa mimi huwa nacheat na watu wanaojiweza kimfuko
je una salio la kutosha siyo masharti kibao kisha mpunga huna
by the way unatakiwa unihonge zaidi ya huyu niliyenae je utaweza ?