Why underwear only? uliza pia nguo nyingne! maana nkienda cbebi ki2 na narudi nmebadili kila ki2, may b wakwako anakuzingua ukienda lazma utoke navyo ili mwngne hasivikute!
Imeshantokea na madem watatu tofaut na ktk kuwapeleleza wawili majibu yalifanana mmoja hakusema, sababu eti kila ninapoiona au kuishika namkumbuka na ctamchoka na nazd kumpenda.