Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Unapomwambia waziwazi kuwa hupo tayari kuendeea kuwa na uhusiano naye kutokana na tabia yake hiyo, anakuonesha hizo picha na kukutishia kwamba atazisambaza mitaani na kwenye mitandao ya kijamiii ili kukudhalilisha. Anachotaka ni kukufanya mtumwa wake, ufanye vile anavyotaka na usithubutu kutaka kuachana naye.
nimeipenda sana hiyo.....ukimwaga mboga namwaga ugali....Namkodishia wahuni wa ku m cameroon na kumpiga picha,then tuone nani mshindi
Vyombo vya sheria vipo, vitumike
Namkodishia wahuni wa ku m cameroon na kumpiga picha,then tuone nani mshindi
Na kama kweli yeye ni gay na haoni hatari yoyote zaidi ya kuona tu unamtangazia biashara,utafanyaje?!,.
Gaijin kwanza jiulize maswali haya:
Je, ushahidi unao?
Je, rushwa unayo?
Je, unaweza kuvumilia kejeli za Mapolisi pale kituoni, kumbuka huyo kijana ataonekana ni kidume na wewe utaonekana ni malaya..
Ha ha ha Boss......hukucheka huko polisi?
nilikuwa najizuia kucheka aisee
halafu huyo mwanamke polisi
alikuwa anasisitiza jamaa ayataje matusi ya nguoni aliyotukanwa
kwa sauti...imagine..
eti 'kwahiyo alikwambia wewe unananihiwa? lol
yaani live matusi...jamaa hadi anaona aibu..lol
Kama akifanyiwa hivyo na akadai msimamo wake ni huo huo, na hatojali kusambazwa kwa hizo picha zake, itakuwaje?
Huyo polisi mshenzi kabisa wala hajui kazi yake. agggrrrr
Mimi kumbe polisi wa bongo sitawaweza maana kwanza huwa nna na ujuaji juu nikipewa huduma. lolz
Nikienda hospitali daktari anajuta kunifahamu :]
aisee kama umezoea polisi na madokta wa 'MANCHESTER'
basi wabongo watakususa.....hamtawezana...
hata mimi madaktari 'huwa nagombana nao'
anakuandikia dawa,unamuuliza kwa nini hiyo dawa,na sio nyingine
hataki kutoa maelezo ya kueleweka...
Mimi kumbe polisi wa bongo sitawaweza maana kwanza huwa nna na ujuaji juu nikipewa huduma. lolz
Nikienda hospitali daktari anajuta kunifahamu :]
Mimi kwanza huwa nataka maelezo marefu ilikuwaje nikaumwa hivyo nilivyoumwa ili siku ya pili nisiumwe tena (kawaida inaweza pita miaka sijaumwa)
Pili nieleweshwe dawa hiyo ina vitu gani na inafanya kazi vipi, pamoja na side effects zake (nishawahi kudhuriwa na dawa zamani, basi nimekuwa kidogo nna kiji-forbia)
Tatu nitegemee kupona kamili lini ili niweze kujua nirudi hospitali lini kama sijapona
Bila ya kupata majibu hayo, huwa siondoki hospitali ng'oo
BTW: Polisi wa 'Manchester' raha weee, ndani ukimuona spider unamuogopa unawapigia wakuja kumtoa :]]
BTW: Polisi wa 'Manchester' raha weee, ndani ukimuona spider unamuogopa unawapigia wakuja kumtoa :]]