Tatizo letu Watanzania ni hilo, tunakubali ku-compromise haki zetu bila ya sababu za msingi.
Hutakiwi kutibiwa bila kuelewa vizuri unatibiwa nini, dalili, vya kujikinga, na worst case scenario.....you don't know what can save your life.
The Boss, Kisheria katika kuandikisha maelezo, Polisi hakuna TAFSIDA kabisa, unaelezea tukio kama lilivyotokea`na natusi unayataja kama yalivyo. Emagine mwanamke kabakwa au kaliwa mande, anatakiwa aelezee kama ilivyo, na ndio maana kesi za aina hiyo zinaendeshwa chamber kwa siri ili kulinda maadili.
Huyo ni stahili yake, kwanini ukamvulie nguo mwanamme ambae hujafunga nae ndoa?
Baadhi ya Madaktari wa bongo hawajazoea challenge, wakikuona wewe ni pasua kichwa, wanakususa, na huwa wanaambiana, utajikuta unapigwa danadana.................
Tena hakuna kitu kinatibua manesi kama hayo maneno yenu ya kiinglish, we nenda pale utumie hilo neno kompromaizi, utajibeba.
Na utamu zaidi uwe waenda kujifungua mmh! Utajua hata kidengereko kwa sekunde.
Kiukweli, unaishi kutegemeana na mazingira. Uwe unajua haki zako au hujui, ukifika leba muhimbili au mwananyamala utatia adabu, tena bila kuulizwa.
Kama unataka kujaribu kumfanyia mtu wako ivo, ungejaribu halafu uone atakachokifanya uje uwaambie wenzio hapa na watakoma hata kuthubutu kufikiria kufanya ujinga huo!
Dunia ni nzuri ila wanadamu ndio wabaya kuliko wanyama.
Huyo ni stahili yake, kwanini ukamvulie nguo mwanamme ambae hujafunga nae ndoa?
Wauguzi na waganga kukosa bedside manners siyo sifa. Ni ujinga. N ndiyo maana tuko nyuma sana kwenye huduma za wateja.
Warm bedside manners can go a long ways with regards to the condition of the patient.
Hapana Boss,
Sasa hivi kuna utaratibu maalum kwa kesi kama hizi.Hakuna kuchukua maelezo counter kama kesi zingine na kuna mwongozo wa serikali unapitishwa karibuni kuhusu kushughulikia kesi zote za namna ya kudhalilisha kijinsia ikiwemo hizi za picha za utupu nanyinginezo. Updates zinakuja soon.
Anachokieleza Kongosho kina ukweli, ukijifanya bingwa wa kuongea kingereza kwa Ma-Dr. na manesi wetu hawa ninaowajua imekula kwako...................
Duh, hivi bado waishi kitamthilia?
Uswazi tunabanduana mapema kwa raha zetu, maisha yenyewe mafupi waweza subiri ukafa kabla hujaonja uji wa ulezi.
Tena hakuna kitu kinatibua manesi kama hayo maneno yenu ya kiinglish, we nenda pale utumie hilo neno kompromaizi, utajibeba.
Na utamu zaidi uwe waenda kujifungua mmh! Utajua hata kidengereko kwa sekunde.
Kiukweli, unaishi kutegemeana na mazingira. Uwe unajua haki zako au hujui, ukifika leba muhimbili au mwananyamala utatia adabu, tena bila kuulizwa.
Wauguzi na waganga kukosa bedside manners siyo sifa. Ni ujinga. Na ndiyo maana tuko nyuma sana kwenye huduma za wateja kwa sababu ujinga tunaona ni sifa.
Warm bedside manners can go a long ways with regards to the condition of the patient.
Ili muelewane hayo mambo ya manners za pembeni lazima uelewa/uchanganuzi wa mambo uwe unakaribiana.
Hivi unadhani kwa nini watu wengi hasa wenye elimu sec and below wanadhani maprof wamedata? uelewa tofauti, hakuna intersection katika mawazo yao, so kila mtu anamuona mwenzio chizi.
itasaidia aisee
wakiwezesha hayo
but mimi mtu akimbaka ndugu yangu...
hatuendi polisi...never...
lakini atajuta kuzaliwa....'tutamfanyia operesheni ya kiungo chake'....
Nitaendelea kuishi hivi mpaka huyo nesi atokee "nijibebe". Sijawahi kupata tabu yoyote mpaka muda huu kwa kuuliza masuali kwa wahudumu hospitali wala kwengineko na ninaweza kusema imewahi kunisaidia vikubwa sana
Nilipokuwa 14 hivi nilijichoma na msumari mkononi kwa vile nna "ujuaji" wa kutosha nikasema lazima nikapigwe tetanus shot. Nilipofika nikauliza masuali ya side effects kabla sijachomwa. Nikamlazimisha nurse anichome kidogo kwanza tuangalie kama ina madhara kama sina ndio aendelee. Akasema sina madhara. Ile nafika home tu baada ya kama five minutes nikasema nirudishwe kwa sababu najiskia vibaya japo sikuwa na visible signs. Dakika tano tena baade nafika hospitali, mwili ushakakamaa na kulazimisha nitapishwe na kupigwa sindano na ma-drip ya ku-neutralize
Nashukuru kwa udadisi wangu and my mum for not doubting me when I said I needed to go back to the hospital.
Nitaendelea nao hata pale nitakapo jibeba.
Mbona inasemwa sana tu...............!
Anachokieleza Kongosho kina ukweli, ukijifanya bingwa wa kuongea kingereza kwa Ma-Dr. na manesi wetu hawa ninaowajua imekula kwako...................