Uchumi wetu hauruhusu kila mwanamke kununua bastola, eti tu kwa sababu anaonewa. Kwa uchumi upi?Nunueni pia bastola kwenye maduka ya Tanganyika Arms zitawalinda zaidi.
Ujifunze usijifunze utajua wewe. Ila ukileta upuuzi LAZIMA uchapike tu na karate zako.Naungana na wanaoamini kwamba ni muhimu wasichana wakafundishwa angalau basic skills za kupigana.
Iwe kwa lengo la kujihami dhidi ya wanaume wanaopenda kupiga piga.
Mana kuna saa msichana anapigwa kiwepesi sana wakati angeweza kujilinda.
Mtoto wa mtu mwepesi kabisa anakuja kukupiga ngumi au vibao akiamini wewe ni mwanamke huwezi kufanya lolote.
Tujifunze au kufundishwa kupigana, mtu akikugusa na yeye achezee kichapo
#WanawakeNiJeshiKubwa #WanawakeWanaweza
View attachment 1995886
Wazo zuri... Kupambana na kujihami !!!Naungana na wanaoamini kwamba ni muhimu wasichana wakafundishwa angalau basic skills za kupigana.
Iwe kwa lengo la kujihami dhidi ya wanaume wanaopenda kupiga piga.
Mana kuna saa msichana anapigwa kiwepesi sana wakati angeweza kujilinda.
Mtoto wa mtu mwepesi kabisa anakuja kukupiga ngumi au vibao akiamini wewe ni mwanamke huwezi kufanya lolote.
Tujifunze au kufundishwa kupigana, mtu akikugusa na yeye achezee kichapo
#WanawakeNiJeshiKubwa #WanawakeWanaweza
View attachment 1995886
Ni vizuri kama hukuwa ukionewa, ila NI makosa makubwa kuwaonea wengine wasiojua ngumi kwa kisingizio cha dada yako kujua ngumi, ni makosa pia hata huyo dada yako kuanzisha ugomvi kwa makusudi na watu wasiojua ngumi, kisa yeye anajua kupigana. Na mkorofi siku zote ndiye anayepigwa, regardless anajua ngumi kiasi gani. Hivyo tuheshimu wengine wasiojua ngumi, ili nao watuheshimu sisi.Sister yangu alianza kujifunza martial arts kitambo sana akajiimarisha katika mtindo wa Goju Ryu, aisee sikuwahi kuonewa shule kabisa. Mi nakomaa na kikapu ye anakomaa na martial arts. Saivi amekua Mtu mzima ila anawatrain watoto wake eti
CC Mkulungwa01Naungana na wanaoamini kwamba ni muhimu wasichana wakafundishwa angalau basic skills za kupigana.
Iwe kwa lengo la kujihami dhidi ya wanaume wanaopenda kupiga piga.
Mana kuna saa msichana anapigwa kiwepesi sana wakati angeweza kujilinda.
Mtoto wa mtu mwepesi kabisa anakuja kukupiga ngumi au vibao akiamini wewe ni mwanamke huwezi kufanya lolote.
Tujifunze au kufundishwa kupigana, mtu akikugusa na yeye achezee kichapo
#WanawakeNiJeshiKubwa #WanawakeWanaweza
View attachment 1995886
Sasa unafikiri na yeye ni lofa akuruhusu ushike pmbu? Na pia si kwa kila mtu, unaweza kushika na ngumi za kichwa ukala mpaka utaachia mwenyewe, hutoambiwa uache yaani![emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]Nasikia Kama ukipigana nao eti wahi kushika m.p.mb wanakuwa hawana uhanja??