Wanawake tujitahidi tuwape waume zetu mambo matamu kama tuliyokuwa tunawapa kabla hawajatuoa

nimependa tu lugha yako uliyotumia
 
Word!
 
hebu wafunde wamesha sahau wajibu
 
Umeongea FACT tupu!!!! mimi nilidhani ni tatizo la mwandani wangu tu!! Kumbe wanawake wengi mko na tabia hii!!!! Mimi kama mwanaume Lijari tabia hii ananikera kinoma!!! Wanawake badilikeni au tuongeze vimchepuko!!!! mbaya zaidi hata mchepuko nae akikuzoea nabadidili tabia anakuwa kama wife!!! Wanawake sijui nani kawaroga!!!!
 
Anayekunjunja anafaudu sana, utakuwa na manjonjo sana we binti. Ila ya yule rutty hatuyataki[emoji39][emoji39][emoji125]
 
Umenikumbusha mchepuko wangu Asia yaani ukimkumbatia tu anaanza kutoa vilio vya mahabati na ukifika kwake anakupa juisi ya tende na maziwa ili upige mashine kwa nguvu zote. Full kuogeshwa full kulishwa nikirudi kwa mama nyumbani nimetulia tuliii kama sijafanya mahasi yoyote. Ndio maana mpk leo siachi michepuko inasaidia sana njia kuu zikizingua na kuna Rafiki yangu mngoni alinidokeza kuwa tungekuwa tunategemea mke peke yake bila michepuko ndoa zingekuwa jehanamu ndogo
 
Ndo ujue kumbe hata mchepuko ni temporary solution nae mkizoeana maraha yanakua kawaida, vema kuongea na mkeo mtafute solution pamoja kama hamu zimepungua wote mjadili mzifanyeje, sio unaona nae kajichokea nawe unashika hamsini zako, mwambie mkumbushe pia
 

Teh wakati unachepuka na nyumbani fanya maboresho mhamasishe nae, sio fair kutimka huko unapiga vinne ukirudi home kimoja cha kivivu sio sawa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…