Sio wanawake wanahuruma, Ross ndio anawahurumia...yeye alichofanya ni kutafuta kile kitu cha kwanza kabisa ambacho wanawake huwa wanapenda(pesa), pesa ndio nyota wa mchezo kwa wanawake. early 80's jamaa alikuwa rafiki na kina willy falcon(Ma king-pin hatari kuwah kutokea duniani) na South Beach. Unadhani kaanza kuwaweka watoto wazuri leo, toka miaka ya 80 huko..With Ross list ni ndefu ebu cheki
Briana Camille
Lira Galore
Liz Hagelthorn
India Love
Briteady
Skrawberry
Ming Lee
Khloé Kardashian
Paige Imani
Keyshia Ka'Oir
Christelle Blanche
Elise Neal
Shateria Moragne-El
Foxy Brown
Tia Kemp
Lastonia Leviston
Chandra Davis
Premadonna
Hawa wote ni mainstream industry girls, na wengine ni visu kweli kweli, wanatoa wapi huruma kama your broke ?.