Wanawake tuna nini lakini?

Wanawake tuna nini lakini?

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,730
Reaction score
9,088
Hi haijakawa sawa hata kidogo.
Una masumbuko yako, unaamua kwenda kuombewa.

Unamkuta mchungaji ofisini kwake, unalia, unamuelezea matatizo yako weeee.
Gafla unaanguka miguuni pake namna hi...
FB_IMG_16023712472554310.jpg

Halafu hicho kinguo kilivyo chepesi, kinaangaza, ndani hujavaa kitu.
Mchungaji wa watu unamuweka kwenye akili gani?

Tayari mlango wa fahamu wa huko chini wa mwanaume ukifunguka, hauna kurudi nyuma.

Kumbukeni, Hawa wachungaji nao ni binadamu Kama wengine.

Wanashikwa na tamaa, na hamna ambaye hapendi usuguzi wa Gaga.
Tuwaonee huruma, Hawa na wenyewe Wana wake zao huko majumbani wanawategemea.

Mbaya zaidi ukisha mpa utamu mchungaji unataka kumpanda kichwani, umburuze weeee hebu tuache hizo mamboz. Hata Kama ndio kudanga this is too much
 
Nafikiria kubadili fani aisee.

Niache kubeba boksi niwe mchungaji au askofu.

Naona neno la mungu linalipa zaidi.
 
We umeyajulia wapi hayo? Ama we ndiyo muhusika mkuu uliyemdondokea Mchungaji? Au shost wako kakuhadithia mdondoko wake mbele ya Mchungaji maana me nijuavyo matatizo ya muumini na mchungaji wake uwa yanatatuliwa ofisini ambapo huduma inatolewa kwa mtu mmoja mmoja sasa Mamie we sijui ulionaje...

Anyway tunaoenda kanisani kuomba na kusali tuendelee na Baba aonaye sirini atatujaza kadri ya tunavyostahili

Nyie mnaoenda kanisani kuwadondokea Wachungaji Mungu anawaona, endeleeni tu na midondoko yenu
 
Kwahiyo hujui Nini hutokeaga huko kwa ofisi?
 
Hebu tuachane na hayo ya kichungaji tuzungumzie huo mdondoko hapo pichani..
Huo mdondoko ndo unaitwaje maana😅
 
Back
Top Bottom