Wanawake tunaojilipia wenyewe kila kitu tupeni maua yetu

Wanawake tunaojilipia wenyewe kila kitu tupeni maua yetu

Mi Cielo

Member
Joined
Oct 27, 2018
Posts
10
Reaction score
15
Tupeni tu maua yetu kwakweli, halafu muache kukariri kwamba mwanamke yoyote ni lazima kuna mwanaume nyuma anamsaidia tu, kuna wengi tu wanajihudumia wenyewe kwa kila kitu wapeni maua yao aisee.
 
Kujihudumia sio tatizo ,kikubwa hamn nafasi kubwa kweny uwezo wowote ule kama wa kipesa kwa asilia.

Angalia matajiri wa dunia mpo nafasi gani ,hata Tanzania wale matajri wakubwa je mpo wangapi.

Kiufupi kujihudumia sio kesi ishu ni kwamba mnabaki dhaifu kiuwezo mbele ya mwanaume.

Sasa huoni kujihudumia tu mwenyewe unataka kusifiwa si ukae kimya ,mbona wanaume sisi milele tunajihudumia na kuwahudumia wengine hatupigi kelele.

Nyie ni dhaifu halina mpinzani kula yako tu ujisifu mwenyewe.
 
FB_IMG_16778704695828375.jpg
 
Uzi hauna speed ile inayotakiwa kuwa nayo kwa uzi wenye hoja kama huu

Sasa maswali ni je, wanawake wa JF hawana tabia ya kujihudumia? Ama je,ni kweli JF nzima ina jinsia ya kike watatu?

Au wanawake wa JF tuwape muda mmalizie game ya man city teh!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uzi hauna speed ile inayotakiwa kuwa nayo kwa uzi wenye hoja kama huu

Sasa maswali ni je, wanawake wa JF hawana tabia ya kujihudumia? Ama je,ni kweli JF nzima ina jinsia ya kike watatu?

Au wanawake wa JF tuwape muda mmalizie game ya man city teh!
Wanawake wa jf wanasemaga hela za wakaka ni tamu!,huo muda wakujihudumia watautolea wapi...😂
 
Back
Top Bottom