Tuttyfruity
JF-Expert Member
- Dec 3, 2017
- 2,414
- 6,371
Unamshaur nn mtoa madakhaa,
jamaniiii
[emoji23]
Mpe tu pole, halafu endelea na mambo mengine tuu, alikua anatoa ya moyoni tumsikilize tusimchekeDada tukuiteje sasa wote hao..[emoji23]
Halafu unakuja msingizia shetani..!
hata nakosa ushauri,loh!!Unamshaur nn mtoa mada
πππ hebu fafanua hapo hela ina uhusiano gani? Maana huko kunyonya ni kutaka mwenyewe mnyonyaji.[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28] tafuta hela shost ili ujiepushe na kunyonya
Kupitia maswahibu yote hayo ni we mwenyewe kujitakia tu.
1. Kitambi hakijifichi, sasa mwenye tambi lake akikutaka na ukakubali hapo kajilaumu...
3. Wakutwanga kinu mbona wanafundishika hao?...
4. Hao wachafu koge by appearance tu uwa wanaonekana ni wewe sasa kabla ya yote kukubali/kukataa. Kama ni mchafu ukimpenda mbadilishe asiposikia achana nae maana inataka moyo sana kuishi/kumingle na mtu mchafu.
5. Kibamia is always the best..