Wanawake tunawatesa au wanatutesa?

Kazwala mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2016
Posts
1,034
Reaction score
2,250
Ni ukweli usiofichika kuwa asilimia kubwa ya wanaume huvutika na wanawake wenye makalio makubwa Na kweli wapo wanawake waliojaaliwa neema ya kutosha kiasi cha kumvutia mwanaume yeyote rijali Hali hii imewafanya wasio na makalio makubwa wakose cha kuonyesha maana siku hizi hata wanapopiga picha huonyesha uwezo Wale wasio na maumbo yenye kuvutia baadhi hujichukia na kuona kama hawana bahati Hali inayosababisha 'waliojaaliwa' wazidi kupanda uendawazimu kwa kudhani wamemaliza Sasa hali imekuwa tete, 'wasio nacho' wanafoji ili mambo yaende sawa JE, WANAWAKE WANATUTESA AU TUNAWATESA?
 
Aisee! kumbe akina dada wana shida na taabu kiasi?... duh hadi nawaonea huruma kwa jinsi wanavyohangaika... na sijui wanatafutaga nini... kweli aliyesema anachokitaka msichana hakijulikani hajakosea
 
Kweli mkuu afu hao wakujiongeza nyonyo au kalio wapo kibiashara zaidi yaani 95%maisha yao yamebebwa na papuchi,ke mpambanaji atawaza huo upuuzi saa ngapi??[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Hakika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…