Siku hizi naona huu mchezo
Wa kuingiliwa kwa wanawake wa ki tz kinyume na maumbile unaota mizizi kwa kasi ya ajabu.Jamani huu mchezo una madhara makubwa sana, na kubwa zaidi ni kudhalilishwa utu wako.Wito kwa wanawake tuache tamaa na tusikubali hata kupewa gari ili tukubali kufanyiwa huu mchezo.
Gari ni kitu kidogo sana, kuna sikuUmewahi kujaribu kushawishiwa kuingiliwa kinyume na maumbile kwa ahadi ya kupewa gari na ukakataa?Maana wanawake wenzio unaowaambia wanaota kupata hayo magari kwa gharama yoyote.
Siku hizi naona huu mchezo
Wa kuingiliwa kwa wanawake wa ki tz kinyume na maumbile unaota mizizi kwa kasi ya ajabu.Jamani huu mchezo una madhara makubwa sana, na kubwa zaidi ni kudhalilishwa utu wako.Wito kwa wanawake tuache tamaa na tusikubali hata kupewa gari ili tukubali kufanyiwa huu mchezo.
Mimi ni dume lakini nimeamua kutetea haki zao kwa sababu wanawake ndio mama zetu,Boflo samahani ndugu yangu
wewe ni mama?
au umewaongelea tu wakina mama
kuhusu hiyo hoja una utafiti wowote uliowahi kuufanya kuhusu wa kina mama kuingiliwa kinyume na maumbile?
Mimi ni dume lakini nimeamua kutetea haki zao kwa sababu wanawake ndio mama zetu,
Kuhusu ushahidi, ninao mwiingi sana kwa sababu hata mimi nimewahi kuahidiwa nitapewa huu mchezo endapo
Nitawatekelezea matakwa yao
Mh na hiyo Id yako, au ?Mimi ni dume lakini nimeamua kutetea haki zao kwa sababu wanawake ndio mama zetu,
Kuhusu ushahidi, ninao mwiingi sana kwa sababu hata mimi nimewahi kuahidiwa nitapewa huu mchezo endapo
Nitawatekelezea matakwa yao
Gari ni kitu kidogo sana, kuna siku
nilivamiwa na majambazi usiku wa manane, wakaniambia nichague kimoja ama waniue au wanifanye huo mchezo, mimi kwa ujasiri mkubwa sana nilichagua kuuliwa
Gari ni kitu kidogo sana, kuna siku
nilivamiwa na majambazi usiku wa manane, wakaniambia nichague kimoja ama waniue au wanifanye huo mchezo, mimi kwa ujasiri mkubwa sana nilichagua kuuliwa
Hilo Punga limeona biashara yake imepata competition.... amusing"wanawake tuupinge" muanzishaji Boflo ......??!!!