Imenilazimu leo kuchangia katika jukwaa hili; kwanza nimecheka sana juu ya options alizopewa BOFLO na majambazi, kwa kuwa majambazi walisema CHAGUA MOJA.....kwa hiyo kwa yeye kuwa HAI inawezekana alichagua option iliyomfanya kuwa HAI.
Kuhusu mada husika; wakati fulani nikiwa bado DUNIA inanitawala niliwahi kuwa na mahusiano na binti mmoja, ghafla nilianza kuona uhusiano wetu unayumba. Nilijaribu kumhoji kulikoni, alijaribu kuwa muwazi kwangu kwa kuniambia eti mapenzi yanahitaji viji-utundu; kwa hiyo inatakiwa niongeze ujuzi. Nilisikitika sana kwa vile nijuavyo kujituma katika suala hilo, niliamua kumpa kibuti siku hiyo hiyo. Muda ulipita, siku moja nikamsimulia kisa hicho rafiki yangu mmoja wa kike, alicheka sana halafu akaniambia unajua alikuwa anataka nini? nikamwambia sijui, alicheka saaaanaaaa, halafu akanipa jibu kwamba alikuwa anataka "HUO MCHEZO WA NYUMA HUYO". Kwa jibu lake nilifunguka kwani kuna nyakati kulikuwa na dalili hizo.
Hivyo basi kuna uwezekano mkubwa nyakati za sasa wanawake wengi wanaendekeza hii tabia chafu.