Maskini papuchi yangu ππKale kaubaridi sasa.? Ni nzuri kwa kuwa haijikunji kwa nyuma kama zile nyingine na ni pana ikisaidiwa na mabawa sasa pale kati hata ukiivua unakafili ka ubaridi hata ukishika papuchi utadhani uliiweka kwenye friza ndo umeitoa