Wanawake Uganda waja na mpya,....

Wanawake Uganda waja na mpya,....

Kisoda2

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2008
Posts
2,475
Reaction score
745
Wanawake wa Kiganda wanataka itungwe sheria kuwazuia wanaume kufanaya mapenzi mchana ili kupata haki yao ya ndoa.
Sababu kubwa wakidai waume zao hawawapi hiyo kitu warudipo toka kazini kwa kisingizio wamechoka kumbe washapungu utamu kwa mwingine.

Je, huu ni uungwana!!
 
Kwa hio hio sheria itatoa uchovu kwa waume zao?
 
Kwa hio hio sheria itatoa uchovu kwa waume zao?

SHida itakuwa kwenye law enforcement. Hata sheria ikitungwa utajuaje kuwa imevunjwa?? Suala la msingi watu waache uzinzi na waheshimu ndoa zao. Huwezi kumtungia mtu sheria ya kutofanya mapenzi mchana. Mungu mwenyewe kasema usizini lakini watu bado wanazini, itakuwa sheria ya uganda??

Na tena ukiweka sheria kama hio inamaana hata mtu na mkewe wakijisikia kufanya tendo la ndoa mchana sheria itakuwa inawazuia!!! mabo gani hayo????
 
Wanawake wa Kiganda wanataka itungwe sheria kuwazuia wanaume kufanaya mapenzi mchana ili kupata haki yao ya ndoa.
Sababu kubwa wakidai waume zao hawawapi hiyo kitu warudipo toka kazini kwa kisingizio wamechoka kumbe washapungu utamu kwa mwingine.

Je, huu ni uungwana!!

Wameshiba ndizi hao!
 
sasa kama wakiwa wanachoka kweli na kazi inakuwaje? me naona wangetunga sheria ya kuweka ratiba ya unyumba na atakaeshindwa kutekelezwa anaozea Segerea
 
kWANI KWA SASA HUWA WANAOMBA RUHUSA YA KWENDA NJE YA NDOA.
 
mtoto wa nyoka ni nyoka tu, jamii ya nyoka ni nyoka tu....jamii malaya ni malaya tu, ndo maana watu wanawaona kama malaya kwasababu wanafikiri muda wote wanawaza ngono ngono ngonooooo tu. thanks to God kabila ndugu yao la hapa tz wamejirekebisha tabia hizo...kule kwa kina katunzi, kagasheki etc. mtu mwingine anaweza fikiri hii ilikuwa myth, kumbe watu hawa wako addicted kwenye kitu hicho,..
 
thanks to God kabila ndugu yao la hapa tz wamejirekebisha tabia hizo...kule kwa kina katunzi, kagasheki etc. mtu mwingine anaweza fikiri hii ilikuwa myth, kumbe watu hawa wako addicted kwenye kitu hicho,..
UBUNGOUBUNGO,can u give more details on this?
 
Waganda wanapenda sana kudu kwao ni km chai vile mhh noma..but hilo sio suruhisho kwao.
 
Hapo kuna kazi sana maana utekelezaji wa hiyo sheria utakuwa balaa....
 
Yaani Uganda wasipoongelea ushoga,basi wataongelea sheria za kuwazuia wanaume wasi-cheat.Huku nchi nyingine zinapiga hesabu za kulipua mwezi...Eich,Afrika! ! !
 
Back
Top Bottom