Kwa hio hio sheria itatoa uchovu kwa waume zao?
Wanawake wa Kiganda wanataka itungwe sheria kuwazuia wanaume kufanaya mapenzi mchana ili kupata haki yao ya ndoa.
Sababu kubwa wakidai waume zao hawawapi hiyo kitu warudipo toka kazini kwa kisingizio wamechoka kumbe washapungu utamu kwa mwingine.
Je, huu ni uungwana!!