Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Mahitaji yapi mkuu ambayo mwanamke natural anayakosa,hebu fafanua vizuri.Mkuu..!
Kuna wengine wanatamani sana kuwa natural kama fulani jinsi alivyo natural, tatizo ni kwamba u-natural walionao huwa haukidhi yale mahitaji yao makubwa, ndio maana huwa wajiongeza.
Hiyo nimeipenda aisee,inapatikana wapi.Yah.Signature yako..nitakuombea VIZA
VIZA=Kinywaji cha kuonja asubuhi ili uweke oda jioni utokapo shamba.
Kuonja unapatiwa lita moja.
ukionja nyumba 5 unakuwa umeshakunywa lita 5 asubuhi
Kijijini raha sana
Nyanda za juu Kusini Magharibi🙂Hiyo nimeipenda aisee,inapatikana wapi.
Haya bwana[emoji1] [emoji1]Nyanda za juu Kusini Magharibi🙂