Wanawake; "umalaya ni cheyo na ni haki yetu ya msingi...."

Capitalist

Senior Member
Joined
Feb 3, 2011
Posts
164
Reaction score
27
Wana JF leo asubuhi nimeshudia kisa kimoja, Jirani yangu mpangaji mwenzangu ambeye ni Nesi amevamiwa na mke wa mfanyabisha mmoja na kufanyiwa Vurugu kwa kuambiwa "toka we malaya nikushikishe adabu yako nishakwambia uache kutembea na wanaume wa watu tafuta wa kwako, malaya mkubwa wee.. k**a kama vuvusela" na huyo nesi bila woga alitoka ndani mwake amecharuka "adabu ukampe mmeo aliyenifata malaya, malaya.... Malaya ni cheo kwa mwanamke na ni haki ya msingi mwanamke kuwa malaya"

my take
binafsi nimeshtuka sana maneno ya huyu nesi maana nikiangalia bado Sijaoa; Magreat thinkers hii imekaaje?

NAOMBA KUWASILISHA.
 
Sasa we nawe maneno ya mtu mmoja yatakukosesha kuoa?Take it easy...si ajabu alisema hivyo kujibu mapigo ya huyo mwenye mali tu bila kumaanisha!
 
hii imekaa vibaya sana....hama hiyo nyumba maana inaonekana inakaliwa na mashangingi......si nzuri kwa afya yako
 
afadhali P umenipa moyo maana nilibaki roho juu juu..
 
Sasa we nawe maneno ya mtu mmoja yatakukosesha kuoa?Take it easy...si ajabu alisema hivyo kujibu mapigo ya huyo mwenye mali tu bila kumaanisha!

afadhali L umenipa moyo maana nilibaki roho juu juu..
 
haaaaa kumbe kipoozeo mnaishi nacho humo humo ndani hukushtukia hebu kuanzia leo anza kuburudika na bibie n esi hapo ndani
 
hii imekaa vibaya sana....hama hiyo nyumba maana inaonekana inakaliwa na mashangingi......si nzuri kwa afya yako

kama vile unaifaham ya ani ni balaa vitimbi kila siku, halafu mem niko peke yangu.
 
Kwani maana ya umalaya ni nini...mimi nivyofahamu mwanamke anaweza kuwa malaya kwa mmewe pia na siyo mbaya....
 
haaaaa kumbe kipoozeo mnaishi nacho humo humo ndani hukushtukia hebu kuanzia leo anza kuburudika na bibie n esi hapo ndani

naogopa mkuu, maana foleni yenyewe inatisha, ndo maana anajigamba umalaya ni cheo kwa mwanamke..!!
 
hii imekaa vibaya sana....hama hiyo nyumba maana inaonekana inakaliwa na mashangingi......si nzuri kwa afya yako

kama vile unaifaham ya ani ni balaa vitimbi kila siku, halafu mem niko peke yangu.
 
Sasa we nawe maneno ya mtu mmoja yatakukosesha kuoa?Take it easy...si ajabu alisema hivyo kujibu mapigo ya huyo mwenye mali tu bila kumaanisha!

afadhali L umenipa moyo maana nilibaki roho juu juu..
 
duh!hii kali ,lakini kwa upande mwingine nimeipenda na kaukweli flani vile.
 
Back
Top Bottom