Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Wana JF leo asubuhi nimeshudia kisa kimoja, Jirani yangu mpangaji mwenzangu ambeye ni Nesi amevamiwa na mke wa mfanyabisha mmoja na kufanyiwa Vurugu kwa kuambiwa "toka we malaya nikushikishe adabu yako nishakwambia uache kutembea na wanaume wa watu tafuta wa kwako, malaya mkubwa wee.. k**a kama vuvusela" na huyo nesi bila woga alitoka ndani mwake amecharuka "adabu ukampe mmeo aliyenifata malaya, malaya.... Malaya ni cheo kwa mwanamke na ni haki ya msingi mwanamke kuwa malaya"
my take
binafsi nimeshtuka sana maneno ya huyu nesi maana nikiangalia bado Sijaoa; Magreat thinkers hii imekaaje?
NAOMBA KUWASILISHA.
manesi wanajua ku care wee acha tu.
duh!hii kali ,lakini kwa upande mwingine nimeipenda na kaukweli flani vile.
hapana siyo kweli kwamba wengi wao hawajaolewa na pia kama ni kweli labda nature ya kazi yao ,too many night duty.hivi ni kwa nini wengi wao huwa hawaolewi?
hata mimi bado nipo nipo ,lakini tumainia kwa best ila tegemea baya siku zote otherwise itatucost kaka.usisime hivyo mkuu maana wengine bado tupotupo kwanza, tutakata tamaa..
hilo nalo neno shosti.]hivi umalaya maana yake nini nijulisheni tafadhali:rain[/COLOR]:
hivi umalaya maana yake nini nijulisheni tafadhali:rain:
maana yake kupenda kitu fulani sana kupita kiasi.
basi mimi malaya penda wewe sana:wink2:
Hii title nusu nizimie. Hahkhkh
Juzi juzi niliona kama hiyo pale break point mtumishi wa kike wanachakachuana na mtumishi mwenzake wa kiume!mke wa mtumishi akaja kuangusha valangati saa 4 asubuhi pale jikoni!duu palikua hapatoshi mwanaume alikimbia akaacha kina dada wanapigana
Sasa we nawe maneno ya mtu mmoja yatakukosesha kuoa?Take it easy...si ajabu alisema hivyo kujibu mapigo ya huyo mwenye mali tu bila kumaanisha!
hii imekaa vibaya sana....hama hiyo nyumba maana inaonekana inakaliwa na mashangingi......si nzuri kwa afya yako