Wanawake; "umalaya ni cheyo na ni haki yetu ya msingi...."

Kwani maana ya umalaya ni nini...mimi nivyofahamu mwanamke anaweza kuwa malaya kwa mmewe pia na siyo mbaya....

Kama ulikua kwa kichwa changu mpendwa wangu, umalaya nineno na pia nitendo ambalo linaweza kutendeka na likashangaza mtu. Yaweza pia kua utundu flani.
 
This is where I fail to understand women.......................urgh!

Huyo mama amemuacha mumewe(aliye toka nje ya ndoa by sleeping with the nurse) nyumbani anakuja kumtukana kimada!?
Upuuzi mtupu!

Anyways usishtushwe Im sure huyo nesi alikuwa anasema hivyo kumkomoa huyo mama, even though she is in the wrong
some of what said is valid, adabu akampe mumewe............................"
 
Mh itakuwa ni kujibu tu mapigo ya huyo mke
 

Alikuwa anamjibu tu, lakin sio wanawake walivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…