ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Kwanza niseme uzinzi si kitu kizuri kwa jinsia zote ila mwana mke ana athirika kwa kiasi kikubwa kutokana na maumbile yake.
(1)Kwanza nianze kwa kusema kuwa wanawake wazinzi ni mabingwa wa kutoa mimba yaani ni wauwaji na magaidi ,kama ww umetoa mimba huna tofauti na boko haram.
(2) Wakati ww unahangaika na ugumba ulio sababishwa ya utoaji mimba wa kiholele na umezaji wa vindonge vya kuzuia mimba ,wanaume ulio kuwa unafanya nao uzinzi watakuwa nyumbani na wake zao walio kuwa wanajua thamani ya miili yao na watakuwa na watoto wa kutosha.
(3)Na bado ukiamua kutotoa mimba ukisha zaa jina la usisingle mama ndo hilo lakini kwa upande wa mwanaume uliye fanya uzinzi na naye, yeye atakuwa ni dume la mbegu.
(4) Utasema uepuke mimba utumie kondomu lakini bado hauta kwepa matokea ya uzinzi ,maana mwana mke anaye liwa hovyo mbususu yake huwa inapanuka kama ziwa viktoria na matiti yake huwa yanadondoka na kama ndara za gesti.
(5) Mwanamke ukisha gundulika kuwa wewe ni mzinzi utabaki kuwa kipozeo cha nyenge za mabaharia tu wakitaka kuoa wanaenda kutafuta wanawake Wanao jua thamani ya miili yao.
Kiufupi gharama ya matokeo ya dhambi ya uzinzi ni kubwa kwa mwanamke nimeelezea kiufupi tu.
Na hayo niliyo yataja ni matokeo tu bado hujalipia dhambi yenyewe siku ukikutana na muumba wako.
Daah ngoja niishie hapa watu wasinipasukie maana nawaongea watu humu.