Wanawake uzinzi una gharama kwenu kuliko wanaume

SAsa huko unapoenda kuoa alikuwa amekaa tu kakituliza anakusubiria wewe tu?
 
Ishu ya ladha ni suala la hisia tu.
Malaya anaachika KWA ishu ipi
Showmax, ladha si ni ubongo, hata mastarbation kuna wanayoiona ila ladha,
kawaida katika pita pita zako, ukiwa na mwanamke ambaye unajua watu wanampitia pitia ukishamaliza baada ya kumwingilia huwa unataka aendelee kuwepo hapo kwako au unataka akuondokee?
 
Hapo tayari unakuwa ushaweka kwenye mind kwamba ni wa kupitia tu.
Watu wanaoa baamaid na wanaishi nao vizuri kwa amani kabisa.
Ishu ni mind
 
TENA WANAWAKE WAMEFIKA MBALI MNO WANAFANYA MBAKA UASHERATI.
KUINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE.


Madhara kwa wanawake.
. Mwili kuchoka kukongoroka
:Ukimwi UTI STDS.
:Mimba na abortions.
: Anachukuliwa Malaya.
: Anadharidika,
: Ugumu wa kuolewa nk.

MWANAUME ANAATHIRIKA SANA KIROHO.
Anapoteza nguvu yake ya Asili.
Potentially.
Anakufa KIROHO.
 
Hahaha... yutong 20 na ziwa lisimame , mkuu una maskhara wewe.

Shida sio kuolewa , shida ndoa kudumu , mwanamke ukishatembea na wanaume zaidi ya kumi hauhitaji sababu kubwa ya kumcheat mume wako ... just simple reason upo guest.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo sahihi 100%

Mwanamke anayejielewa hawezi kuzaa na mtu bila kuolewa,hapo ni kukaribisha matatizo ya kulea mtoto peke yake na mwisho wa siku anabakia kuwa kipoozeo,mifano mingi tunayo,wengine ni ndugu zetu,dada zetu, mama zetu
 
Ni kweli kabisa hata mapaja yanalegea kama mlenda.
Kweli uzinzi ni kitu Cha mikosi sio nzuri. Ila wanaume nao pp zao Nazo zitakuwa zimelegea na mkuyenge kama bamia zimelegea sana huwezi hata iumia ndani maana haina nguvu nyie ndio hamtulii mnawala wadada wenye wengi wenye matako makubwa na weupe so mkipata vya kupata mnakuja fungua uzi
 
Kilicho baki hapa waache tuendelee kuwachakata tu huku tukiwaheshimu wanao jitambua na kuwafanya wake hawa wanao taka tuendelee kushindana kugonganisha vikojoleo waache kwanza
Hivi si ni wewe ndio ulisema mkeo umemfanya punda wa kusimamia miradi yako ya kukuingizia pesa, ila raha unaenda kula na mchepuko, sasa hapo kati ya mke na mchepuko nani anafaidi na anaheshimiwa kuliko mwenzake
 
Mtoa mada hiyo ni mitazamo tu ya jamii hasa za kiafrika na wala sio uhalisia

Utashangaa ukienda kwa wazungu ukaona wana mitazamo tofauti kabisa na hiyo na wanaishi vizuri tu

By the way umesahau pia wakifika kwa muumba wote me na ke watahukumiwa na watachomwa moto ule ule tu
 
SAsa huko unapoenda kuoa alikuwa amekaa tu kakituliza anakusubiria wewe tu?
Mwanamke mwenye akili na anaye heshimu mwili wake anaonekana tu labda uwe ni mtu unaye tumia mihemko ya hisia kufanya maamuzi badala ya akili.
 
Hapo tayari unakuwa ushaweka kwenye mind kwamba ni wa kupitia tu.
Watu wanaoa baamaid na wanaishi nao vizuri kwa amani kabisa.
Ishu ni mind
Aliye kwambia mtu akiwa baamed basi ni malaya ni nani?
 
Katika watu ambao ni waaminifu kwenye mahusiano ni watu weupe.
 
Kweli hata ukiwa mke WA mtu ukicheat mmeo ni mbaya sana maana mwanamke kwenye mahusiano anakua controlled , hata issue ya tahadhar y afya inakua changamoto, pia ni mgumu kujirudi .
 
Tusahihishane kidogo kuhusu matiti kushukia kisa uzinzi. Matiti yatashuka endapo mwanamke atapata ujauzito.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…