N Ngekewa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 7,705 Reaction score 1,288 Mar 21, 2012 #21 Bishanga said: kwani kuna mwanamme ambaye yuko radhi kuwa mme mwenza? mbona sasa tunatembea na wake za watu? Click to expand... Ulishawahi kusikia mwanamke akamuowa mwanamme?
Bishanga said: kwani kuna mwanamme ambaye yuko radhi kuwa mme mwenza? mbona sasa tunatembea na wake za watu? Click to expand... Ulishawahi kusikia mwanamke akamuowa mwanamme?
HorsePower JF-Expert Member Joined Aug 22, 2008 Posts 3,612 Reaction score 2,567 Mar 21, 2012 #22 Ngekewa said: Pengine hukumuelewa mtowa mada anauliza nini! Anachoshangaa ni kwanini wanawake wanakuwa wakali kuwekwa uke wenza wakati wengi wao wanajiweka uke wenza binafsi yao? Click to expand... Inawezekana na wewe pia haujanielewa ni nini nilichokuwa najaribu kukizungumzia. Try to think beyond the box!!!
Ngekewa said: Pengine hukumuelewa mtowa mada anauliza nini! Anachoshangaa ni kwanini wanawake wanakuwa wakali kuwekwa uke wenza wakati wengi wao wanajiweka uke wenza binafsi yao? Click to expand... Inawezekana na wewe pia haujanielewa ni nini nilichokuwa najaribu kukizungumzia. Try to think beyond the box!!!