Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Nauliza hili swali na ninaomba unijibu kwa kadiri ya ufahamu na uzoefu wako.
Asante.
Asante.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaiba, tunavunja, tunaiba, tuna toil ili tupate fedha, fedha huleta pombe, magari, majumba ya fahari, starehe anasa na wanawake.
Pesa bila wanawake ni ubatili mtupu.
Wanawake na pesa fedha wote ni MASHETANI.
So shetani anaongoza dunia.
Somehow vinategemeana...ila wanawake zaidi!!
absolute
Code:absolute
Hivi Nazjaz yale matakwa yako yaliishia wapi mbona ulituacha solemba?
tusidanganyane jamani, fedha ni kiola kitu, then mademu wanafuata.
Demu gani ambaye anapenda ukuni kuliko hela?
Tuache uzandiki na unafiki
Aaaah, hilo swali umelichakachua. Liulize kama inavyotakiwa mi ndo ntajibu....Nauliza hili swali na ninaomba unijibu kwa kadiri ya ufahamu na uzoefu wako.
Asante.
Aaaah, hilo swali umelichakachua. Liulize kama inavyotakiwa mi ndo ntajibu....
mmmhhh
Hivi wanawake bila wanume wataongeza dunia kweli???
Na fedha zinaongeza dunia kwa njia gani???
Kwa hiyo WANAUME tinaongoza dunia, thats great.