Wanawake vs Fedha, kipi kinaongeza dunia?

Am coming home coming home..
tell the world am coming home...
Tell the world am comiiiing....

Ni Wanawake... BjBj
 
Tunaiba, tunavunja, tunaiba, tuna toil ili tupate fedha, fedha huleta pombe, magari, majumba ya fahari, starehe anasa na wanawake.
Pesa bila wanawake ni ubatili mtupu.
Wanawake na pesa fedha wote ni MASHETANI.
So shetani anaongoza dunia.
 
Aminia mwana, da, umeshuka nondo za kiutu uzima sana.
Kweli Shetani ndiye mtawala wa sayari hii.
 
Buji, swali lako liko very tricky.
Yaani hauwezi kuongelea ukucha ukaacha kuongelea kidole.
 
Somehow vinategemeana...ila wanawake zaidi!!
 
Code:
absolute

Hivi Nazjaz yale matakwa yako yaliishia wapi mbona ulituacha solemba?
 
tusidanganyane jamani, fedha ni kiola kitu, then mademu wanafuata.
Demu gani ambaye anapenda ukuni kuliko hela?
Tuache uzandiki na unafiki
 
tusidanganyane jamani, fedha ni kiola kitu, then mademu wanafuata.
Demu gani ambaye anapenda ukuni kuliko hela?
Tuache uzandiki na unafiki

Hatuongelei MADEMU hapa...tuongelea WANAWAKE!!
 
Nauliza hili swali na ninaomba unijibu kwa kadiri ya ufahamu na uzoefu wako.
Asante.
Aaaah, hilo swali umelichakachua. Liulize kama inavyotakiwa mi ndo ntajibu....
 
mmmhhh
Hivi wanawake bila wanume wataongeza dunia kweli???
Na fedha zinaongeza dunia kwa njia gani???
 
Behind every successful man there is a strong woman...

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…