Km mnatutaman ndio mtupende,basi mjue tumegaramikiwa ndio maana mkatuona,
Iweje nyie mtuone tunapenda pesa ile hali pesa hiyo hiyo ndio imenifanya nipendeze mpaka unione?
Yani mnapenda vya bure sana,hakuna cha bure kwa sasa hata waliooa wanacha kodi ya meza.
Back to the topic:
Binadamu wote tunaongozwa na tamaa,
Ukinijia msafi unapendeza utanishawishi nisimame japo tusalimiane,
Na mie nikiwa niko mchafu na rafu yani sisomeki wala hutaniona hata km nitakuwa nimesimama pemben yako,
Sasa linapokuja swala la kupenda ni kwamba tamaa ndio hupelekea kupenda kwa thati,
Iwe kwa mwanamke au mwanaume,
Vile utakavyongea nami,tukiwa out utakavyonitreat na mengineyo,nitatamani kuwa nawe siku zote kitu kitakachonipelekea kukupenda,hali kadhalika kwa mwanaume,
Tatizo linakuja ni pale uongo unapoingia hapo,ndio kudanganyana inakuwa mmoja anakuta kile alichotama ni tofauti na matarajio na anakuwa hajapenda,kinachofata anaamua kudangaya then anamtafuna bint na kusepa zake,
Binti naye akikuta alichotaman ni tofauti naye anaigiza anajipatia mshiko na kusepa zake.
Haya ni kwa uelewa wangu.