Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kwenye miaka ya themanini, Bill Gates akiwa bado kijana, alichumbiana na Ann Winblad.
Mwaka 1987 Bill Gates akaachana na Ann na Kwenda kumuoa Belinda waliyeishi naye kwa miaka 27 na kupata naye watoto watatu mpaka walipoachana mwanzoni mwa mwaka huu.
Lakini Bill Gates alipooana na Belinda, walikubaliana na Belinda kuwa angalau mara moja kwa mwaka, Bill Gates atakuwa anakwenda mapumzikoni (Vacation) na mchumba wake wa zamani Ann Winblad.
Hapa Tanzania kuna Mwanamke wakukubali alichokubali Belinda??