Wanawake wa Bongo wanaweza kulikubali hili!?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Kwenye miaka ya themanini, Bill Gates akiwa bado kijana, alichumbiana na Ann Winblad.

Mwaka 1987 Bill Gates akaachana na Ann na Kwenda kumuoa Belinda waliyeishi naye kwa miaka 27 na kupata naye watoto watatu mpaka walipoachana mwanzoni mwa mwaka huu.

Lakini Bill Gates alipooana na Belinda, walikubaliana na Belinda kuwa angalau mara moja kwa mwaka, Bill Gates atakuwa anakwenda mapumzikoni (Vacation) na mchumba wake wa zamani Ann Winblad.

Hapa Tanzania kuna Mwanamke wakukubali alichokubali Belinda??
 
Hiyo stori ya kukubaliana umeitoa wapi ?

Isije kuwa umebuni stori halafu unataka waijadili kwenye maisha halisi.
 
Hiyo stori ya kukubaliana umeitoa wapi ?

Isije kuwa umebuni stori halafu unataka waijadili kwenye maisha halisi.
Hiyo story ni ya kweli.

Hata kabla Bill hajamuoa Melinda, alienda kumuomba ruhusa mpenzi wake Ann.

Ann alikuwa mkubwa kwa Bill ndo maana hakumuoa.

 
Yaani wanaenda kupasha kiporo live na ex wake? Aah hapana bora ingekua anaenda kimya kimya na nisijue ila najua kabisa mmh huu wivu nilionao siwezi katu. Pesa isiwe sababu ya kukosa ustaarabu bana🤔
Ni kweli babe
 
Mdo maana jamaa ana hela sana, ni negotiator mzuri sana. [emoji1787][emoji1787]
 
Huyo Anna hakuwa na mtu?

Vyovyote vile, huo ni usng
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…