Wanawake wa Dar es Salaam mmenisikitisha na kunihuzunisha sana. Kujishebedua kote huko kwanini Ilihali mnalala mbavu za mbwa?

Hadithi yako inatufundisha nini
 
Nilivyosoma title nikajua ni kidukulilo
 
Wanakuja kama wote
 
Wakati unasoma darasa la 7 au 6 hukuwa kusoma ufupisho wa habari. Hii mada yako inachosha kuisoma.
 
M natak kujua n bzness gan
Hyo anafany ipo market fast ivo
 
Wewe ungesimulia tu habari yako bila kusema una hela,unaishi nje ya nchi,ila sisi kupitia stori yako tungekuelewa huyu jamaa ana mawe,umeji proud sana mzee kiasi kwamba huenda hii habari yako watu wasiiamini sana unless otherwise wewe ni MBOGA SABA maana mara nyingi hizi ndio story zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…