Wanawake wa Dar es Salaam mmenisikitisha na kunihuzunisha sana. Kujishebedua kote huko kwanini Ilihali mnalala mbavu za mbwa?

Mwanangu siku ya kumkodi MC nipe hio deal nije ku host!
 
Kaka nyumbani ni bukoba sehem gani mkuu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ila sijui tatizo ni nini haswa ila kila mtu wa mkoani akina Dsm lazima atazungumzia Mlimani City..yani jamaa wa mikoani na Mlimani City ndo wanaonaga kama vile wameshakua wajanja hahahaha
Ni ukweli kuwa is a centre ya watoto wa mjini kukutan kirahis hasa kwa location yake ,ukiend iringa bila kufika mtaa wa chuo cha Ruco hujafika,ukienda arusha bila kufikq kalolen bado mgeni,ni kila mkoa unawanPokutana wenye mji na wagen hupenda kwenda hapo
 
Kuna limtu humu shenzi shenzi hivi ila huwa linaongea points sana lilisema" usimsaidie mwanamke kwa kumuhurumia" likaongeza kuwa mwanamke akiwa na shida zake anakua humble sana sasa usishangae huyo demu akaanza ku$ombesha kwa boda boda na wauza chipsi na kuwahonga mpaka viwanja
 
Ila bashomile mna tabu sana 😹😹
Mkuu naomba laki nianze kuuza barafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…