Wanawake wa Dar na kope bandia hatarini

Wanawake wa Dar na kope bandia hatarini

Mshamba wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2015
Posts
2,857
Reaction score
3,593
Apo chacha!

Wanawake wanaotumia kope bandia wanahofiwa kuwa na hali ya hatari ya kupata upofu wa macho kutokana na gundi wanazotumiwa kutumia kope hizo kuripotiwa kuripotiwa kuwa na athari kwenye macho yao.

Tahadhari hiyo imetolewa na mratibu wa huduma ya macho ya mkoa wa Iringa, Dk George Kabona, alipokuwa akitoa tathmini ya huduma ya macho ikiwa ni sehemu ya kuelekeamaadhimisho ya siku ya afya ya macho duniani.

“Ningependelea wasipende kuzivaa kama fasheni ya kawaida, kwasababu zina madhara sana.

Kwasababu hizo kope unabandika kwa kile kitu ambacho ile chemical ya kubandikia ndio huwa inaogopwa zaidi kuliko hata kope zenyewe.

Ingekuwa labda unazibana na stapler hivi labda lakini kuna kitu unabandikia ile kitu ndio jicho halikitaki kama kinaendelea kukaa pale muda mrefu,”alisema Kabona.

“Pia hupelekea uoni hafifu. Pia linaweza likawapelekea watu shida ya kuona kwasababu uoni hafifu kuna ule mkali na uoni hafifu wa nafuu.

Ukiwa ule mkali utakuletea shida kwenye shughuli zako za kila siku. Ukiwa katikati kama unaangalia TV, ukiwa unataka kumuona mtu unasogea
maisha yanaweza yakaendelea.

Lakini kuna ule mkali kabisa unakaribia na upofu unahitaji huduma.”
 
Ameeleza kiloko sana huyo daktari.
 
Wanawake wengi hawajikubali walivyo..Sasa mtu unaanzaje kununua kope uziegeshe kwenye macho. Kwani kope zako zimetoka?? Wanaume wanapenda mwanamke natural sasa akikutana na huyo wa kujichubua na kujipiga kope bandia atambandua na kukimbia zake tu.
Dada zangu mjikubali mlivyo mana hivyo ndo Mungu alivyowaumba.
 
Yaani ukimwambia kuwa atapata madhara utasikia tu" baby siku hizi hunipendi" yaani tanzania imefika hatua ukikutana na binti kama umekutana na jini
 
Wanawake wengi hawajikubali walivyo..Sasa mtu unaanzaje kununua kope uziegeshe kwenye macho. Kwani kope zako zimetoka?? Wanaume wanapenda mwanamke natural sasa akikutana na huyo wa kujichubua na kujipiga kope bandia atambandua na kukimbia zake tu.
Dada zangu mjikubali mlivyo mana hivyo ndo Mungu alivyowaumba.
Napendaga mtt wa kike abaki natural anavutia sana aisee, stimu zinakataga ukikaa na mtu kajifyatua wee so sad yani hata gemu nitapiga moja round ya pili aisee nitamkumbuka mtt fulani
 
Apo chacha!!
Wanawake wanaotumia kope bandia wanahofiwa kuwa na
hali ya hatari ya kupata upofu wa macho kutokana na gundi
wanazotumiwa kutumia kope hizo kuripotiwa kuripotiwa
kuwa na athari kwenye macho yao.
Tahadhari hiyo imetolewa na mratibu wa huduma ya macho
ya mkoa wa Iringa, Dk George Kabona,alipokuwa akitoa
tathmini ya huduma ya macho ikiwa ni sehemu ya kuelekea
maadhimisho ya siku ya afya ya macho duniani.
“Ningependelea wasipende kuzivaa kama fasheni ya
kawaida,kwasababu zina madhara sana. Kwasababu hizo
kope unabandika kwa kile kitu ambacho ile chemical ya
kubandikia ndio huwa inaogopwa zaidi kuliko hata kope
zenyewe. Ingekuwa labda unazibana na stapler hivi labda
lakini kuna kitu unabandikia ile kitu ndio jicho halikitaki
kama kinaendelea kukaa pale muda mrefu,”alisema Kabona.
“Pia hupelekea uoni hafifu. Pia linaweza likawapelekea watu
shida ya kuona kwasababu uoni hafifu kuna ule mkali na
uoni hafifu wa nafuu. Ukiwa ule mkali utakuletea shida
kwenye shughuli zako za kila siku. Ukiwa katikati kama
unaangalia TV, ukiwa unataka kumuona mtu unasogea
maisha yanaweza yakaendelea. Lakini kuna ule mkali kabisa
unakaribia na upofu unahitaji huduma.”

Bado kuna gundi feki za kubandika hizo kope kwenye macho.... Na soko huria ..... Ahhhhh mambo yanazidi kuwa hatari zaidi.
 
Nanyie wanaume cndomnapendaga wa hivyo hapa mnajiandikia tu kwasab mmekutana na mada
 
Ukikuta mtu kabandika hayo madude sasa, anafanana kama mbuzi
Wanawake tuna kazi

Wenye uzoefu na swala hili watusaidie kidogo.... Sijawahi weka hayo makitu machoni mwangu.... Hivi ukiwa unaoga ...eeehhhh unanawa USO asubuhi na jioni... Hiyo gundi ya hayo makope ni water resistant au ndio inayeyuka kidogo kidogo na kuingia machoni.... Kazi IPO... Sio mchezo.... Khakha...!!!
 
Bado wale wanaoweka mboni, yani hawa wanajiscorpion wenyewe
 
Yaani Mimi hayo makitu ndo mtanifunga kamba labda ndo mniwekee, jinsi nilivyozaliwa ndo ivoivo kama bae kanipenda na weusi wangu yatoshaaa
 
Apo chacha!!
Wanawake wanaotumia kope bandia wanahofiwa kuwa na
hali ya hatari ya kupata upofu wa macho kutokana na gundi
wanazotumiwa kutumia kope hizo kuripotiwa kuripotiwa
kuwa na athari kwenye macho yao.
Tahadhari hiyo imetolewa na mratibu wa huduma ya macho
ya mkoa wa Iringa, Dk George Kabona,alipokuwa akitoa
tathmini ya huduma ya macho ikiwa ni sehemu ya kuelekea
maadhimisho ya siku ya afya ya macho duniani.
“Ningependelea wasipende kuzivaa kama fasheni ya
kawaida,kwasababu zina madhara sana. Kwasababu hizo
kope unabandika kwa kile kitu ambacho ile chemical ya
kubandikia ndio huwa inaogopwa zaidi kuliko hata kope
zenyewe. Ingekuwa labda unazibana na stapler hivi labda
lakini kuna kitu unabandikia ile kitu ndio jicho halikitaki
kama kinaendelea kukaa pale muda mrefu,”alisema Kabona.
“Pia hupelekea uoni hafifu. Pia linaweza likawapelekea watu
shida ya kuona kwasababu uoni hafifu kuna ule mkali na
uoni hafifu wa nafuu. Ukiwa ule mkali utakuletea shida
kwenye shughuli zako za kila siku. Ukiwa katikati kama
unaangalia TV, ukiwa unataka kumuona mtu unasogea
maisha yanaweza yakaendelea. Lakini kuna ule mkali kabisa
unakaribia na upofu unahitaji huduma.”
Haya sasa
Mnaodhani uzuri upo kwenye kujibandika vitu kama hivyo
You were born original,don't die fake
 
Back
Top Bottom