B Barbra JF-Expert Member Joined Oct 19, 2016 Posts 1,046 Reaction score 946 Oct 19, 2016 #41 Kwa kweli kope Hapana hata rafiki yangu huwa simshauri na sipendi kuona kabandika kope hata hawapendezi basi ni kujitia shida tu na sijui huwa akinawa hiyo gundi haiyeyuki au ni water resistant
Kwa kweli kope Hapana hata rafiki yangu huwa simshauri na sipendi kuona kabandika kope hata hawapendezi basi ni kujitia shida tu na sijui huwa akinawa hiyo gundi haiyeyuki au ni water resistant