Wanawake wa DAR na Pesa

BABY HAUJAUMIA?

Nasikia ukiwa na hela DAR, hata ukijamba demu anakwambia, pole baby, hujaumia? Ishiwa sasa, utasikia, anajambajamba ovyo, nitolee kipindupindu chako hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mwandende kama nakuona vile, Jana tulioga, na leo tena??? Hapana!!! Tutaoga Xmas, Sasa ni mwendo wa kujisiliba Mafuta na uturi mpaka December
 
BABY HAUJAUMIA?

Nasikia ukiwa na hela DAR, hata ukijamba demu anakwambia, pole baby, hujaumia? Ishiwa sasa, utasikia, anajambajamba ovyo, nitolee kipindupindu chako hapa
Hahaaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vizuri vyote huletwa na pesa dunia ya sasa sisi tusio napesa acha tuendelee kueneza vipindu pindu.
Stupid!. Fight ili hicho kipindu pindu kisije kikakuua ukitegemea kukaa nacho kwa ajili ya kuambukiza wengine. Umenikumbusha enzi hizo za sekondari za bweni kuna jamaa alikuwa anafuga gono kwa ajili ya kuwakomesha wadada powa waliokuwa wanatoa huduma ya kujiuza kwa wanafunzi wanaporudi shule kutoka likizo ili kuwachuna pocket money walizokuja nazo. baada ya kuwaambukiza anakunywa tetracyline usaha unakauka faster anabaki kusikilizia kelele za waathirika. Badala ya wadada powa kudhurika 90% ya wanafunzi waliugua wengine kushindwa kuhudhuria masomo hadi mkuu wa shule marehemu mkoba akaingilia kati na kuwaasa wanafunzi wake waache huo mchezo wasije wakaoza korodani wakashindwa kuzaa ukubwani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huyo mwana sio kabisa alikuwa ni mafia kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…