wanawake wa Dar na viwango vyao

Bwana Bongo

Senior Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
146
Reaction score
212
Wanawake wa Dar wana Viwango vyao vya hela:

Ukiwa unampa 50,000-90,000
utakuwa unaitwa jina lako tu.
Good morning Kelvin, Hello Kelvin how is your day? Good night Kelvin.

Ukiwa unampa kati ya 100,000 na
150,000 utakuwa unaitwa dear. Morning dear, umeamkaje dear? Dear umekula? Usiku mwema dear usisahau kuniamsha asubuhi.

Ukiwa unatoa kati ya 200,000-300,000 hapa utakuwa
unaitwa baby. Baby how's your
day? Baby naumwa kweli leo. Baby naenda Mwenge see you later.

Ukihonga 300,000 na kuendelea
hawa ndiyo wanaitwa hubby ake. Utapendwa wewe hadi
ushaangae. Kila kitu hubby ake. Hubby nimejikwaa, hubby ndiyo
nafunga mlango, hubby kuna mende chumbani njoo tulale
wote. Hubby hivi unanipenda? Na swali lao kubwa, hubby hivi utanioa lini?

Chagua jina unalotaka, mahaba ya siku hizi ni kama menu ya Mpesa, unajihukumu mwenyewe.
Wengi mtakuwa mnaishia kuitwa dear na baby tu. Tikisa wallet
kidogo na wewe kabla hujafa uitwe hubby ake!

Usikae kizembeee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
umewasahu hawa wa temeke ukimnunulia chipsi yai unaitwa MY mpaka utajiuliza hii MY ni nomino au kivumishi
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ daah jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…