Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,633
Ooh kumbe na wao wanatuma PM za mitongozo?!
Umaskini si kilema.Jamani kwanini lakini hauna hela?? Wakati mwalimu Heaven Sent anakumendea kweli.
Dogo naona anataka nifike menopause. Mwishowe nikate tamaa nifunge pm bure, nipishane na shela la harusi bure. Hata kama ndo the older, the sweeter, sio kihivyo bana lolHivi hajatuma msg bado? Huyu dogo anakuwa domo zege huyu!!!
Haha unywanywa hauna jinsia wala umriHahahaaaa!!! Eti nipo naliemagine hilo libaba linavyoscreen shot salamu.
Wanaume siku hizi ni wambea kwakweli hatuwafikii hata robo.
Ila si unajua dota pesa na sura kwake ni bonus tu, ila ni muhimu uwe nayo, teh teh teeeh!!Umaskini si kilema.
Hahaha sina hamu naye hata tangu alivyonikata kwenye lile tangazo lake la uchumba. Siamini mpaka keshoJamani kwanini lakini hauna hela?? Wakati mwalimu Heaven Sent anakumendea kweli.
Usijisahaulishe, nasubiri hiyo pm.Haha unywanywa hauna jinsia wala umri
Niwacheee...KwendraaaaaaaIla si unajua dota pesa na sura kwake ni bonus tu, ila ni muhimu uwe nayo, teh teh teeeh!!
Najiscreenshot mwenyewe kwanzaUsijisahaulishe, nasubiri hiyo pm.
Haha, the older the sweeter, subiri ukifika 30 ili uwe sukari bwana!Dogo naona anataka nifike menopause. Mwishowe nikate tamaa nifunge pm bure, nipishane na shela la harusi bure. Hata kama ndo the older, the sweeter, sio kihivyo bana lol
Hivi kumbe ulikatwa!! Pamoja na kuwa na kigezo kimojawapo!! Tatizo dota eksipozha ndio ilikuponza. Ila vile vingine viwili nakuaminia.Hahaha sina hamu naye hata tangu alivyonikata kwenye lile tangazo lake la uchumba. Siamini mpaka kesho
Hahahaaaaaa!!?Niwacheee...Kwendraaaaaaa
Nifike 30 ipi tena jamani? Afu ukute wewe ndo unamwambia dogo aendelee kusubiri. Usinifanyie hivyo tafadhaliHaha, the older the sweeter, subiri ukifika 30 ili uwe sukari bwana!
Nisikatwe mchezo, ndo nimehamia kwa kui now, nakula x-pozha hatari. Nimeanza na ile eye piercing na kitovu[emoji33] [emoji33] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hivi kumbe ulikatwa!! Pamoja na kuwa na kigezo kimojawapo!! Tatizo dota eksipozha ndio ilikuponza. Ila vile vingine viwili nakuaminia.
Nani huyo asie na adabu?Kama zee moja humu jitu zima yani kuchat nalo tena kikawaida basi litascreenshot wee litatuma kwa watu, watu wengine sijui akili zipo kwenye mattako, kuna mimtu inakera
Hahaha mabomu nimewaacha kui na yule "B"Hahahaaaaah! kui unaniharibia mtoto, nilimruhusu aje akusaidie kuzuia mabomu tu.