Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Nitakuambia pm alisema hata wewe ulimtongoza ha ha ha leo nmekua cha umbea kama namuona hapa akiona comments zangu chupi inavopata jasho
Khee hebu fanya kunambia aise....

Kuna watu mabingwa wa kuzusha mambo sana.

Halafu aje aseme hadharani nilianzaje kumtongoza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…