Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

naomba ukiskia yangu tell me nkufungulie pm haki tena...[emoji57] [emoji57] [emoji57] halafu kutwa kutusimanga kumbe wao ndo washenzi baadhi yao mbwaaa....ptuuuu

mwanaume Mwenye kinaume sawasawahana huo ulofa
Wanaume hewa[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Ni wakufrank tu.
 
Khee hebu fanya kunambia aise....

Kuna watu mabingwa wa kuzusha mambo sana.

Halafu aje aseme hadharani nilianzaje kumtongoza
Wewe una chale nne kwenye mashavu....niliambiwa na mtu[emoji85] [emoji85] [emoji23] [emoji23]
 
Ha haa Eli wa nini sasa
Hahahhh Eli aliniita mm et shunie wa Ngabu alivyocomment kuniambia amekuja PM nikamwambia Ngabu wa Valentina akasema Ngoja Valentina aseme mwenywe
 
Kama zee moja humu jitu zima yani kuchat nalo tena kikawaida basi litascreenshot wee litatuma kwa watu, watu wengine sijui akili zipo kwenye mattako, kuna mimtu inakera
Ndo lile lililokupakazia kipindi kile Mentor kaja na ile hadithi yake ya VVU?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseeeh!watu wabayaaa!!
umenifunza kitu mpenzi!!

kikubwa sana tu!
Ha ha ha afu bora hata asimulie tu kwamba Gen aliniomba nimkopeshe ha ha ha yani msg zoote tangu unaomba mkopo zinahifadhiwa watu wabaya
 
naomba ukiskia yangu tell me nkufungulie pm haki tena...[emoji57] [emoji57] [emoji57] halafu kutwa kutusimanga kumbe wao ndo washenzi baadhi yao mbwaaa....ptuuuu

mwanaume Mwenye kinaume sawasawahana huo ulofa

Nilikuwa na mpango wa kuja kukuambia kitu kuhusu hizo lips, ila ndio umeshafunga PM. Basi tena.
 
Hahahhh Eli aliniita mm et shunie wa Ngabu alivyocomment kuniambia amekuja PM nikamwambia Ngabu wa Valentina akasema Ngoja Valentina aseme mwenywe
Usikubali mtongozo wa Ngabu mwaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…