Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

naomba ukiskia yangu tell me nkufungulie pm haki tena...[emoji57] [emoji57] [emoji57] halafu kutwa kutusimanga kumbe wao ndo washenzi baadhi yao mbwaaa....ptuuuu

mwanaume Mwenye kinaume sawasawahana huo ulofa
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Unafunga pm yako gen? Nakuja kutupia mtongozo saivi bana.
ushachelewa zamaaanii!!
Mi nikimjua namtaja humu...

Hatutakagi ujinga ujinga sisi
sio wa mchezo mchezo

yaani mie skrinshot,copy au azipige na picha Huyo kijanaume
wala sijalii na sibadili Nina ng'odooo
Ila anaefanya Fanya tumfatieni Madera tuuu
Wanaume hewa[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Ni wakufrank tu.
Kwa kweli hvyohvyoo!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wa hovyohovyo tu hao!
 
Nilikuwa na mpango wa kuja kukuambia kitu kuhusu hizo lips, ila ndio umeshafunga PM. Basi tena.
umechelewaa sasa
too late to catch the train!
Ha ha ha afu bora hata asimulie tu kwamba Gen aliniomba nimkopeshe ha ha ha yani msg zoote tangu unaomba mkopo zinahifadhiwa watu wabaya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani loohh!
aliyrskrini shot ni me au ke?!!

loohhh!!
 
mkuu, umepigwa kibuti PM, unakuja lalamika jukwaani, we MPE makavu mwambie afungue PM take

sidhani kama umepita kwa member wote ukakuts IPO locked
 
Janaume zima hovyooo...

Kumbe kuna mianaume isiyo na sifa ya uanaume humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…