Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Kuna Dada mmoja alini PM humu humu kuhusu interview ya ilala kaz za serikalin.
Kesho yake tukakutana kwenye eneo la interview, akanidesaaa weee mwishon kapata kazi now anatoka shavu tu.

Sa nyie shaur yenu fungeni fungeni tu mpishane na fursa
Unadhani kuna asiependa fursa basi?

Zinapendwa sana tu. Ila ndohivo wengine ustarabu wao unasoma 0....

We fikiria jianaume zima linasambaza vitu visivyo na mashiko na kuzusha uongo,zinamtosha kweli huyo?
 
Kweli kabisaaa!!

tunafunga kwa kuwa watu wengine wapumbavu

Mi ht ukiskrinishot 'unanila shauri yako'

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Unadhani kuna asiependa fursa basi?

Zinapendwa sana tu. Ila ndohivo wengine ustarabu wao unasoma 0....

We fikiria jianaume zima linasambaza vitu visivyo na mashiko na kuzusha uongo,zinamtosha kweli huyo?

Eeh naona hilo limekukera kweli kweli.

Nawe wamekuzushia nini?
 
He hee naomba nije pm nikutongoze Ngabu mana naambiwa natongoza wanaume huko pm

Hahaa daah pole sana.

Wengine tushayazoea hayo mambo ya kuzushiwa.

Mi niliambiagwa eti nilikupata wewe kwa sababu ya kuandika Kiingereza humu JF😀😀.
 
Back
Top Bottom