Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Applicant

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2020
Posts
1,962
Reaction score
1,751
Nimeenda PM kwa wanawake 29, mmoja tuu ndio nilimwambia mambo akajibu "kwa yesu!" wengine wote wapo kimya, nioneeni huruma nahitaji upendo wenu, wadada wa jf nawapenda sana jibuni meseji.

Nipate hata mmoja wa kupiga nae story tam tam namimi najua kupenda haswaaa!!

Halafu nikionaga tuu jina la dada ya jf kuna kaharufu kananijia puani inaonekana muwasafi na wazuri na mna ladha nzuri sana, nahitaji kampani yenu.

Nyie ndio kimbilio letu hapa JF

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa nashangaa inakuwaje mtu anatumiwa message hajibu? Nikagundua huku kuna mataahira huwa wanatuma meseji kwa kujaribu au sijui nisemeje? Jitu linakupm leo 'mambo'?

Unalijibu hapo hapo 'poa vipi'? Halijibu linapotea. Sasa hivi nikiona mtu simuelewi amenipm nafuta na ku-unfollow wala sihangaiki naye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Comment yako inekaa kwa kujikweza na kujiona sana mkuu. Sio vizuri. Kuna nadharia nyingi sana mtu akiku pm mambo halafu akapotea..
Usipende kuchukulia vitu negative mara nyingi.
Muono wangu tu..sorry
 
Comment yako inekaa kwa kujikweza na kujiona sana mkuu. Sio vizuri. Kuna nadharia nyingi sana mtu akiku pm mambo halafu akapotea..
Usipende kuchukulia vitu negative mara nyingi.
Muono wangu tu..sorry
Ni mtazamo wako, huwa naudhika sana mtu anakutumia message unamjibu kistaarabu then anapotea, inaonyesha wazi anakuwa ameamua kukuchezea tu. Fikiria vyovyote upendavyo ila mimi ndio nimeamua hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii comment imenifanya nicheke.
Asante kwa kuleta cheko usoni kwangu.

Hata mimi napenda mtu anayeenda moja kwa moja kwenye point. Namaanisha msg yake ya kwanza iwe na salamu na dhumuni la kunitafuta.
 
Naomba unisubiri nakuja pm kwa mwendelezo sio kubeep
 
Hii comment imenifanya nicheke.
Asante kwa kuleta cheko usoni kwangu.

Hata mimi napenda mtu anayeenda moja kwa moja kwenye point. Namaanisha msg yake ya kwanza iwe na salamu na dhumuni la kunitafuta.
Hehehehhe
Mbona Ngumu Sana hiyo

Watu wanataka chatting (Unajua chatting) sio kuandikiana ma-barua [emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…